-
Tabligh - Tanzania:
Baadhi ya harakati za Kidini za Taasisi ya Kiislamu ya S.D.O - Bukoba, Tanzania
Kwa mtu yeyote, anayetaka thawabu na malipo mema toka kwa Allah (s.w.t), kupitia kusapoti na kusaidia Harakati hizi za Kidini za S.D.O Bukoba, Tanzania, basi anakaribishwa na mlango upo wazi.
-
Sheikh Izzud_Din wa Kenya:
Nakiri kwa sababu nilipotezwa na hisia zangu, naomba radhi na msamaha
"Natumia fursa hii kumuomba radhi Rais wa Tanzania, Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kumhusisha katika mazungumzo yangu".
-
Eidul _ Fitr:
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania awatangazia Waislamu wa Tanzania kuonekana kwa Mwezi
Natumia fursa hii kuthibitisha kuwa Mwezi umeonekana, na Kesho Jumatatu ni Siku ya Eidul - Fitri
-
Salam za Rambirambi:
Wasifu na salam za rambirambi kutoka kwa Masheikh na Taasisi mbalimbali katika Mazishi ya Marhuma Fatima Ali Mwiru
"Nimemfahamu Fatima Mwiru zaidi ya Miaka 20 iliyopita katika Harakati mbali mbali za Kidini".
-
China: Tuko tayari kustawisha uhusiano wa kijeshi na Iran na Russia
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China amezungumzia mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyofanywa na majeshi ya Wanamaji ya nchi hiyo, Iran na Russia na kusisitiza kuwa Beijing iko tayari kustawisha ushirikiano wa kijeshi na nchi hizo mbili.
-
Baadhi ya Waislamu waswali Iddi leo, wengine kuadhimisha sikukuu hii kesho
Baadhi ya Waislamu katika maeneo tofauti duniani wameswali Swala ya Iddul-Fitri leo Jumapili, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa siku 29; huku wengine wakitazamiwa kuadhimisha sherehe hizo kesho Jumatatu.
-
Wanachuo 300 wapokonywa viza US kwa kuiunga mkono Palestina
Marekani imebatilisha viza za wanafunzi zaidi ya 300 wa kigeni kwa kuratibu na kushiriki katika maandamano ya kuwanga mkono na kuwatetea wananchi madhulumu wa Palestina katika mabewa ya vyuo vikuu kote nchini humo.
-
Kuongezeka hatua za Trump dhidi ya vyuo vikuu na wanafunzi wanaowatetea Wapalestina
Katika muhula wake wa pili wa urais, Donald Trump, rais mpya wa Marekani kwa mara nyingine tena ameamua kutumia mtindo alioutumia katika muhula wake wa kwanza wa kuuunga mkono bila mpaka utawala wa Kizayuni wa Israel na kuchukua hatua mpya za kuisaidia na kuihami Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Katika maadhimisho ya Siku ya Quds Indonesia na Malaysia; Mahathir miongoni mwa waandamanaji
Waislamu na watetezi wa haki duniani katika nchi za Indonesia na Malaysia wameshiriki kwa maelfu katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds yanayofanyika katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kwenye pembe mbalimbali za dunia.
-
HAMAS: Tumekuwa na mazungumzo ya mfululizo na wapatanishi kwa ajili ya kusitishwa vita Ghaza
Bassem Naim, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amethibitiha kuwa katika siku za karibuni, harakati hiyo ya ukombozi wa Palestina imekuwa na mazungumzo ya mfululizo na wapatanishi yanayolenga kutekelezwa tena usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza
-
Hizbullah: Iran ndiye muungaji mkono mkuu wa kadhia ya Palestina
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza nafasi muhimu ya Iran katika kuunga mkono kadhia ya Palestina ya kukombolewa kuondokana na uchokozi na uvamizi wa Israel huku akiulaani vikali utawala wa Israel kwa ukatili wake katika eneo zima ambao unawezeshwa kwa kiasi kikubwa na uungaji mkono wa Marekani.
-
Adui vamizi amepokeaje pendekezo la Misri na Qatar kuhusu Ghaza?
Utawala vamizi wa Israel umekataa pendekezo la Misri na Qatar la kusitishwa mapigano katika Ukanda wa Gaza na umetoa pendekezo mbadala lililojumuisha kuachiliwa huru mateka kumi wa Israel.
-
Ujumbe wa HAMAS wa Sikukuu ya Idul Fitr
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa ujumbe wa Sikukuu ya Idul Fitr kwa kuyataka mataifa ya Kiislamu na Kiarabu kuongeza juhudi na uungaji mkono kwa Wapalestina ili kukomesha jinai za Israel na kuondolewa mzingiro kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Jeshi la Yemen laendelea kuzitwanga kwa makombora meli za kivita za Marekani
Jeshi la Yemen limetangaza kuhusika na mfululizo wa mashambulizi yaliyofanyika kwa ustadi wa hali ya juu na kuzitwanga meli za kivita za Marekani, ikiwa ni pamoja na USS Harry S. Truman, katika Bahari Nyekundu, ikiwa ni kuendelea kukabiliana na uvamizi wa Marekani dhidi ya Yemen.
-
Iran yalaani shambulio la anga la Israel dhidi ya Beirut
Iran imelaani vikali shambulio kubwa la anga la utawala haramu Israel kwenye maeneo ya makazi katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut, kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo yalifikiwa kati ya utawala huo na harakati ya Muqawama ya Lebanon, Hizbullah.
-
Azma ya Iran ya kutekeleza operesheni ya tatu ya kijeshi dhidi ya Israel
Mshauri mwandamizi wa kijeshi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amethibitisha kwamba Iran itatekeleza operesheni ya tatu ya kijeshi dhidi ya utawala wa Israel katika kujibu vitendo vya uchokozi vya utawala huo dhidi ya Iran.
-
Araqchi: Mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Yemen yanadhihirisha namna nchi hiyo inavyoshiriki katika uvunjaji wa sheria wa Israel
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani mashambulizi ya kijeshi ya mara kwa mara ya Marekani katika maeneo mbalimbali ya Yemen na kusema: Mashambulizi ya kijeshi ya Marekani huko Yemen sambamba na kushtadi mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na hujuma zake dhidi ya Lebanon na Syria, yanaonyesha namna Marekani inavyoshiriki katika uvunjaji sheria wa Israel na kwenda sambamba na utawala huo katika kueneza machafuko na hali ya mchafukoge katika eneo.
-
Mtaalamu: Badala ya kusimamia haki, ICC inatumikia madola yenye nguvu
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imepoteza uhalali wake kwa kutumikia maslahi ya kisiasa ya madola fulani. Hayo yameelezwa na Ali Hammoud, mtaalamu wa mahusiano ya kimataifa wa Kituo cha Mafunzo ya Kidiplomasia na Kimkakati (CEDS) chenye makao yake mjini Paris, Ufaransa.
-
Kamanda: Iran ina uwezo wa kupiga ngome za adui popote pale
Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Admeli Alireza Tangsiri amesema kwa mara nyingine tena kuwa, uwezo wa kijeshi wa Iran ni wa kipekee, huku akionya dhidi ya vitisho akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haiwezi kufanya mazungumzo na yeyote kuhusu maghala yake ya makombora.
-
Siku ya Quds Duniani:
Kongamano la Siku ya Quds Duniani lilifanyika Jijini Tanga, Tanzania
Kuna umuhimu Mkubwa kwa Waislamu na Watu wote huru na wapenda Haki Duniani, kuzidi kusimama pamoja na wadhulumiwa wa Palestina na kutetea Haki za watu wote wanyonge popote pale walipo Duniani. Watu mbalimbali kutoka Jiji la Tanga walihudhuria katika Mkusanyiko huu wa kuhuisha Siku ya Kimataifa ya Quds, wakiwemo Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kidini na Madhehebu mbalimbali.
-
Takriban watu 20 Wameuawa baada Wanajeshi wa Nigeria kushambulia Maandamano ya Siku ya Quds Mjini Abuja
Makumi ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina wameuawa na kujeruhiwa baada ya vikosi vya usalama kuwafyatulia risasi wakiwa kwenye Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds katika Mji Mkuu wa Nigeria.
-
Ripoti ya Picha | Maandamano ya Siku ya Quds Duniani - 1446H / 2025 - Yalifanyika Nchini Nigeria sambamba na vurugu za Polisi dhidi yake
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA-, Maandamano ya Siku ya Quds Duniani yalifanyika nchini Nigeria, ambapo utawala wa nchini hii ulitumia Polisi kuyaminya na kuyakandamiza Maandamano hayo, ambapo Polisi hao waliamua kutumia risasi za moto ili kuzima maandamano hayo, na hatimaye kupelekea mauaji wa watu 18 na wengine kadhaa kujeruhiwa.
-
Ripoti ya Picha | Ibada ya Usomaji wa Qur'an Tukufu Katika Husseiniyyah ya Irshad, Isfahan
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahl al-Bayt (a.s) - Abna - Sambamba na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ibada ya kusoma Qur'an Tukufu hufanyika kila Siku saa 16:30 katika Husseiniyyah ya Irshad, iliyoko kwenye Mtaa wa Ibn Sina huko Isfahan, Iran.
-
Ripoti Pichani | SHafla za Siku ya Quds Duniani katika Mji wa Nakuru nchini Kenya
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - Abna - Hafla ya Siku ya Quds Duniani ilifanyika katika Seminari ya Hazrat Sahib al-Zaman (a.t.f.s) katika Mji wa "Nakuru" nchini Kenya. Wazungumzaji mbalimbali kutoka Dini tofauti wakiwemo Shia, Sunni na wafuasi wa Ukristo walitoa hotuba zao katika hafla hii.
-
Ripoti Pichani | Siku ya Kimataifa ya Quds Mji wa Mash-had ambao ni katika Miji Mikubwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - Abna - Matembezi ya Siku ya Quds Duniani yalifanyika Mash-Had, Mji miongoni mwa Miji mikubwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ripoti Pichani | Sala ya Eid al-Fitr Katika Msikiti wa Al-Aqsa
Kwa mujibu wa Shirika la habari la Ahl al-Bayt (a.s) - Abna - Waislamu wa Palestina wamesali Sala ya Eid al-Fitr kwa uwepo wa mahudhurio mazuri sana katika Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Habari Pichani | Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds katika nchi ya Afrika ya Niger
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul Bayt (a.s) - Abna - Sambamba na kuadhimisha Siku ya Quds Duniani, Waislamu wa Niger waliofunga Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, walitangaza uungaji mkono wao kwa Taifa linalodhulumiwa la Palestina kwa kuhudhuria kwa wingi katika Maandamano ya Siku ya Quds Duniani huko Niamey, Mji Mkuu na mkubwa zaidi wa nchi hii, katika Ijumaa ya Mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Ilitajwa katika Salamu ya Eid al-Fitr:
Kiongozi wa Ansarullah: Watu wa Yemen wanashikamana na kadhia ya Palestina
Akitoa salamu za pongezi za Eid al-Fitr, Sayyid Abdul Malik al-Houthi alisema: "Watu wa Gaza hawakufunga tu Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, bali pia walipata heshima ya Jihadi na Upinzani (Muqawamah) dhidi ya wavamizi."
-
Kulaani Ukandamizaji na Mauaji ya watu wa Nigeria Katika Siku ya Al-Quds | Moto wa Mwamko wa Kiislamu Hautazimika
Baraza la Uratibu wa Tabligh za Kiislamu, limelaani ukandamizaji wa Maandamano ya Siku ya Quds Duniani nchini Nigeria, na limetangaza kuwa: Jinai hizo za kipofu zitazidisha azma ya Mataifa ya Kiislamu kukabiliana ipasavyo na mfumo wa ukoloni na uistikbari.
-
Ni Ipi Hukumu ya Mwanamke Kufunga Bila ya Idhini ya Mumewe?
Mume na Mke wako huru kutekeleza majukumu yao ya Faradhi ya Shariah, na kitendo cha wote wawili kiko chini ya idhini ya mwingine. Na funga (Saumu) ya Wajibu pia iko hivyo.